Nyimbo Za Kristo

Nyimbo Za Kristo

Awesomecode Tanzania
star0.0
star10万+
safe icon
セブンスデー・アドベンティストの礼拝歌のスワヒリ語版。

編集者からのレビュー

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote、Nyimbo za kuburudisha、kutia moyo na kukufariji wakati wahuzuni。 Sifa za program ni kama zifuatazo:- •Inahusishaeneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili、kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani yawimbo。 •Inakuwezeshakuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyokuupata kwa urahisi wakati mwingine、pia unaweza kuuondoa pale unapoonainafaa。 •イナクウェゼシャクオナニンボクワマクンディ。 •Inakuwezeshakufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti(hymnserve.comに感謝します 伴奏)。 •Inakuwezeshakucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu •Inakuwezeshakuona wimbo unaocheza •Inakuwezeshakukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona inafaa。 •Inakuwezeshakuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwakuuangaza。 •Inakuwezeshakushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwaurahisi。 •Inakuwezeshakubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingiraya。 Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumizamacho。 Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva na Godfrey Diva kwa utukufu waMungu。
もっと見せる
広告

追加情報

アプリケーション名
Nyimbo Za Kristo
デベロッパー
Awesomecode Tanzania
価格
無料
更新日
2024-06-29
カテゴリー
書籍&参考書
バージョン
2 . 3 . 2
累計ダウンロード数
10万+
サイズ
0 B

スクリーンショット

[email protected] をコピーします。全著作権所有

Google Play™ は Google Inc. の商標です。

apkineed は、Google、Android OEM、Android アプリケーション開発者とはいかなる形でも提携していません。